Hali ya Covid-19 magatuzini: Serikali za kaunti zaweka mikakati

  • | KBC Video
    Serikali za kaunti zimeimarisha juhudi za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya korona huku zikipanua uwezo wao wa kuwashughulikia watu ambao wamethibitishwa kuambukizwa virusi hivyo.Katika kaunty nyingi , serikali zinaelekeza pesa nyingi katika ununuzi na usambazaji wa maji hasa mijini ili kuimarisha usafi na kutoa misaada ya vyakula kwa jamii ambazo zimeathiriwa zaidi na janga hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive