Hali ya hofu kutanda eneo la Baringo kutokana na kudhorora kwa hali ya usalama katika eneo hilo

  • | KBC Video
    23 views

    hali ya hofu imetanda kwa watahiniwa katika shule nane za msingi eneo la Baringo kusini kaunti ya Baringo kutokana na kudhorora kwa hali ya usalama katika eneo hilo. Hali ya taharuki imetanda eneo hilo kufuatia mauaji ya afisa wa polisi wa akiba ‘KPR’ katika shule ya upili ya Kiserian wikendi iliyopita na kuwalazimu watahiniwa kutoroka na kujificha.Tukio hilo likiwafanya wazazi kuwaondoa wanafunzi kutoka shule hizo kwa hofu za kiusalama……UPS….Walimu kutoka shule zilizoathirika sasa wameitaka serikali kuingilia suala hilo kwa haraka wakidai majangili huenda wanapanga njama ya kuwavamia wanaposafirisha vifaa vya mitihani eneo hilo………UPS: BK/BK……..Hayo yakijiri, mitihani ya usanii wa vitendo ilianza leo huku walimu kutoka Nandi wakiitaka tume ya huduma kwa walimu TSC kuwaajiri walimu zaidi wa masomo ya mziki na lugha za kigeni ili kupiga jeki ukuaji wa hitaji la masomo hayo unaoshuhudiwa…UPS………Mtihani wa kitaifa wa shule za msingi KCPE Utaanza rasmi juma lijalo.

    BC Channel 1 brings you the Mashujaa Day 2023 celebrations held in Kericho County. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive