Skip to main content
Skip to main content

Hali ya taharuki yatanda baada ya abiria kukwama vituoni kufuatia mgomo ya wahudumu wa mamatu

  • | NTV Video
    1,301 views
    Hali ya taharuki na masikitiko imetanda mapema asubuhi ya leo katika barabara kuu ya Mombasa hapa jijini Nairobi, baada ya mamia ya abiria kukwama vituoni kufuatia mgomo na maandamano ya wahudumu wa usafiri wa umma. #NTVAdhuhuri Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya