Hali ya ukame katika sehemu za Kaskazini mwa nchi kuwa mbaya zaidi

  • | KBC Video
    28 views

    Baadhi ya mashirika ya kutoa misaada ya binadamu yanasema huenda hali ya ukame iliyokithiri katika sehemu za Kaskazini mwa nchi ikawa mbaya zaidi. Kwenye shughuli ya kusambaza chakula cha msaada huko Isiolo, mashirika hayo yakiongozwa na shirika la msalaba mwekundu yamesema serikali inapaswa kubuni mikakati madhubuti ya kukabiliana na hali hiyo ,hasa katika maeneo yaliyoathirika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #drought #dirayamagwiji