Hali ya ukame mbaya waleta hofu Afrika na Dunia

  • | VOA Swahili
    Afrika na dunia kwa ujumla zinatishiwa na ukame mbaya sana, Umoja wa Mataifa imetahadharisha. - Licha ya kuwa ni safari zenye hatari kubwa na wengi wakipoteza maisha, vijana bado wanaendelea kuvuka bahari Senegal kuelekea Ulaya kutafuta maisha. - Pia tutakuletea Makala Maalum, endelea kusikiliza - - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.