Hali ya ukame nchini | Naibu Rais atoa wito wa msaada kwa jamii ya kitaifa

  • | KBC Video
    47 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua, amehimiza taasisi za humu nchini na pia za kimataifa kuiunga mkono serikali katika mapambano yake dhidi ya athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News #rigathigachagua