Hali ya usalama imeimarishwa katika vituo vyote 218 vya mtihani katika eneo la Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    240 views

    Hali ya usalama umeimarishwa katika vituo vyote 218 vya mtihani katika eneo la Kaskazini Mashariki huku watahimiwa 22,244 wakitarajiwa kufanya mtihani huo.