Hali ya utulivu imerejea katika eneo la Bojigaras,Wajir

  • | Citizen TV
    344 views

    Hali ya utulivu imerejea katika eneo la Bojigaras, Kaunti ya Wajir, baada ya miaka ya hofu na mashambulizi ya Al-Shabaab