Hali ya utulivu yaanza kurejea Marioshoni baada ya mapigano

  • | TV 47
    Usalama umedumishwa katika maeneo ya Nessuit, Mariashoni and Ndoswa baada ya msururu wa mapigano kati ya jamii mbili yaliyosababisha vifo vya watu wanne na wengine kujeruhiwa. #UpeoWaTV47