"Hali yetu ya maisha ipo hatarini, mashamba yetu yote yameangamia na maji"

  • | BBC Swahili
    6,569 views
    Wakazi wa kata Mohoro wilayani Rufiji wanakabiliwa na hatari ya Magonjwa ya mlipuko kutokana na mafuriko yanayoendelea kuikumba wilaya hiyo Mpaka sasa tayari watu wawili wamepoteza maisha huku serikali, mashirika na watu binafsi wakiendelea kupeleka misaada ya kibinadamu kuwasaidia waathirika 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #rufiji #mafurikorufiji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw