Halmashauri ya Ipoa yaanzisha uchunguzi wa mauaji Kiamaiko

  • | Citizen TV
    2,435 views

    Halmashauri ya kuangazia utendakazi ya polisi (Ipoa) imeanzisha uchunguzi dhidi ya maafisa wa usalama wanaodaiwa kumpiga risasi na kumuua mfanyibiashara mmoja katika eneo la Kiamaiko jijini Nairobi.