Hamaki bungeni | Wabunge wamtaka Rais kufika bungeni kueleza kwa kina tuhu­ma za ufisadi

  • | Citizen TV
    3,378 views

    WABUNGE NA MASENETA SASA WANAWATAKA MASPIKA WA MABUNGE HAYO MAWILI KUMUAGIZA RAIS WILLIAM RUTO AFIKE MBELE YAO KUELEZEA KWA KINA MADAI KUHUSU WABUNGE HAO KUITISHA HONGO. WABUNGE HAO WALIOKUWA NA HAMAKI KWENYE VIKAO VYAO HII LEO WANALALAMIKIA KUCHAFULIA JINA HUKU WAKITAKA USHAHIDI KUTOLEWA KUHUSU WAHUSIKA. AIDHA WAMETISHIA KUKAZA KAMBA DHIDI YA MISWADA INAYOHUSU SERIKALI KUU. HAYA NI HUKU SPIKA WA BUNGE LA KITAIFA MOSES WETANGULA KUKIRI KUPOKEA MALALAMISHI DHIDI YA BAADHI YA WABUNGE