Hamas ilivyowaachilia mateka wawili wa Marekani

  • | BBC Swahili
    1,338 views
    Video zilizorekodiwa na Hamas zinaonyesha wakati mama na binti yake wakiachiliwa huru chini ya uangalizi wa Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu. Judith na Natalie Raanan walikuwa miongoni mwa takriban watu 200 waliotekwa katika mashambulizi dhidi ya Israel tarehe 7 Oktoba. Nchini Marekani, babake Natalie aliongea na waandishi wa habari kuhusu kuachiliwa kwao. #bbcswahili #Isrel #Gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw