Hamasisho kuhusu athari za ukeketaji yatolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    107 views

    Wadau tofauti wameungana mjini Hola katika kaunti ya Tana river kutoa hamasisho kwa jamii, kuhusu athari za ukeketaji katika kaunti hiyo. Washikadau hao ni pamoja na viongozi wa kidini, maafisa wa afya, wale wa idara ya usalama pamoja na kina mama ambao walikuwa wakitekeleza ukeketaji.