Hamasisho la ukeketaji yaandaliwa Mugirango Kusini katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    98 views

    Washikadau mbalimbali wamekongamana katika eneo la Mugirango Kusini katika hafla ya kuhamasisha umma kuhusu vita dhidi ya ukeketaji wa mtoto msichana. Viongozi mbalimbali kaunti ya Kisii wameapa kukabiliana na Mila hiyo potovu kama njia mojawapo ya kulinda mtoto msichana.