Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' - Kutoka kuwa msanii wa muziki hadi Naibu Waziri

  • | BBC Swahili
    685 views
    Si msanii wa kwanza Tanzania kujikita kwenye siasa na hata kufanikiwa kushika wadhifa wa Naibu Waziri, Hamisi 'Mwana FA' Mwinjuma ametupitisha kwenye safari yake ya kutoka kuwa mwanamuziki mahiii mpaka Bungeni. #bbcswahili #tanzania #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw