Hannah Wateri ashinda ksh.500,000 za Shabiki Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    374 views

    Shabiki Kaende Jackpot imetoa zawadi ya pesa taslimu shilingi milioni mbili nukta tano kwa washindi watano waliojinyakulia shilingi nusu milioni kila wiki tangu kuzinduliwa. Mshindi wa wiki hii alikuwa Hannah Watiri, mfanyakazi wa vibarua kutoka Kabete, Kaunti ya Kiambu. Hannah ndiye mwanamke wa kwanza kushinda mchezo huu. Hannah alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13. Anaungana na washindi wengine Paul Mwaniki na Emmanuel Simiyu ambao wote walipata ubashiri wa mechi 11 kati ya 13. Kumbuka kunyakua likizo yako ya Pasaka mapema kwa kucheza shabiki kaende Jackpot kwa kutuma neno KJP kwa 29063 kwa shilingi 50 pekee.