Harakati ya kukomesha maambukizi ya ukimwi kwa watoto

  • | K24 Video
    50 views

    Kenya iko mbioni kukomesha maambukizi ya ukimwi kwa watoto ifikiapo mwaka 2027.kwa muda mrefu nchi imekubwa na athari za janga la ukimwi, haswa katika kaunti za Homabay, Siaya , Migori, na nyamira, lakini hattua kabambe zimefikiwa katika kukomesha maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama hadi kwa mtoto.robi omondi na maelezo zaidi.