Harambee Starlets kuanza mechi dhidi ya Burundi Jumapili

  • | Citizen TV
    162 views

    Timu ya taifa ya soka kwa wasichana Harambee Starlets imeendelea kujiandaa kwa mechi ya ufunguzi ya mchuano wa cecafa nchini Tanzania. Kina dada hao watafungua kampeni zake dhidi ya burundi siku ya jumapili uwanjani azam. Burundi walishinda mechi yao ya kwanza kwa bao moja bila jibu dhidi ya mabingwa watetezi Uganda siku ya ijumaa. Mchuano huo unachezwa kwa mfumo wa mzunguko.