Harambee Starlets wajiandaa kuiva Botswana mzimamzima

  • | TV 47
    14 views

    Timu ya taifa ya soka ya kina dada Harambee Starlets inajiandaa kuchuana na botswana katika mchuano wa kufuzu dimba la kombe la bara afrika la mwaka ujao.

    Starlets wameratibiwa kuchuana na Botswana katika mechi yao ya mkondo wa kwanza hapa jijini Nairobi kabla ya kusafiri ugenini kwa mkondo wa pili.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __