27 Oct 2025 7:57 pm | Citizen TV 255 views Duration: 1:44 Timu ya taifa ya soka ya wasichana Harambee Starlets leo ilifanya mazoezi mepesi kujitayarisha kuchuana na the Gambia hapo kesho kwenye mechi ya mkondo wa pili ya duru ya mwisho itakayochezwa nchini Senegal