29 Oct 2025 2:01 pm | Citizen TV 268 views Duration: 50s Timu ya taifa ya soka kwa kina dada Harambee Starlets imeandika historia kwa kufuzu kwenye kombe la mataifa ya afrika mwakani nchini Morocco.