Harambee stars walinyakua taji la mataifa 4 nchini Malawi

  • | Citizen TV
    1,163 views

    Timu ya taifa ya soka harambee stars imerudi nchini baada ya kunyakuwa ubingwa kwenye mchuano wa mataifa manne nchini malawi. Stars iliilaza zimbabwe tatu moja kwenye fainali