Harambee Stars inadhamiria kushinda Ivory Coast ili kufuzu kwa Kombe la Dunia mara ya kwanza

  • | NTV Video
    304 views

    Harambee Stars inadhamiria kuwashinda Mabingwa wa Bara Afrika Ivory Coast hii leo Uwanjani Bingu, nchini Malawi ili kufufua matumaini yake ya kufuzu kwa Kombe la Dunia Kwa mara ya kwanza katika historia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya