- 4,899 viewsDuration: 1:40Katibu wa wizara ya usalama raymond omollo amewahimiza wakenya kuwa na subira kutokana na changamoto zinazoletwa na michuano ya CHAN akisema hatua kama vile kufungwa kwa barabara ni kuhakikisha taifa limefuata maagizo ya michuano hiyo.