Harambee Stars yaanza maandalizi ya AFCON 2027

  • | Citizen TV
    445 views

    Baada ya mafanikio ya timu ya taifa ya harambee stars kufika robo fainali ya mashindano ya CHAN, serikali imeelekeza juhudi kwa maandalizi ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027