Harambee Stars yapata ushindi ugenini

  • | Citizen TV
    492 views

    Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars hatimaye ilishinda mechi chini ya kocha Benni McCarthy, ikiifunga Chad 2-1 katika jaribio lao la pili jana usiku. Pambano la kwanza kati ya wawili hao lilimalizika kwa sare tasa siku nne zilizopita.