Harambee Stars yarejea mazoezini kujitayarisha kwa mechi dhidi ya Kongo Agosti 3

  • | Citizen TV
    179 views

    Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee stars Benni Mccarthy anasema timu hiyo ilifanya uamuzi wa pamoja kujiondoa kwenye mashindano ya mataifa manne ya CECAFA ambayo yanaendelea nchini Tanzania.