Harambee Stars yatangaza kikosi cha CHAN chenye wachezaji 14 wa ndani

  • | Citizen TV
    276 views

    Washambulizi Masoud Juma na Felix Oluoch wamejumuishwa katika kikosi cha Harambee stars cha Chan kilichotajwa Jumatano na kocha Benni McCarthy. Juma amesajiliwa hivi punde na timu ya Migori youth ya ligi ya daraja la pili huku Oluoch akichezea posta rangers.