Haron Muthoni ashinda laki tano kwenye shindano la shabiki kaende jackpot

  • | Citizen TV
    164 views

    Haron Muthoni mkazi wa mlango kubwa kaunti ya Nairobi ndiye mshindi wa hivi punde wa shillingi laki tano kwenye shindano la shabiki kaende jackpot.