Harris au Trump? | Upigaji kura umeanza katika majimbo muhimu Marekani

  • | Citizen TV
    8,991 views

    Upigaji kura umeanza katika majimbo muhimu nchini marekani huku ushindani mkali kati ya Donald Trump na Kamala Harris ukitarajiwa. Mamilioni ya wapiga kura wamejitokeza kumchagua Rais mpya wa taifa hilo huku zaidi ya watu milioni 81 wakiwa tayari wameshapiga kura ya mapema