Skip to main content
Skip to main content

Harrison Kombe wa chama cha ODM ashinda kwenye uchaguzi ndogo ya Magarini

  • | NTV Video
    1,613 views
    Duration: 4:51
    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imemtangaza rasmi Harrison Kombe kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Magarini. Kombe amerudi katika kiti hicho baada ya kupata kura nyingi zaidi kwenye mchuano uliovutia hisia na ushindani mkubwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya