Hasara baada ya vurumai kushuhudiwa uwanjani Gusii

  • | Citizen TV
    1,111 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii wanaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha zogo lililoshuhudiwa kati ya mashabiki wa Gor Mahia na Shabana FC katika uwanja wa Gusii hapo jana. Mali ya thamani iliharibiwa wakati wa vurumai hilo lililosababisha kujeruhiwa kwa watu 72. Hata hivyo kama anavyoripoti Chrispine Otieno, wote waliokuwa hospitali wameruhusiwa kwenda nyumbani