Hasara ya mvua,Busia

  • | West TV
    95 views
    Mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mengi ya kaunti ya Busia inaripotiwa kusababisha uharibifu mkubwa katika sehemu mbali mbali za kaunti hiyo, nyumba zikiangukiwa na miti mikubwa inayoangushwa na upepo unaoandamana na mvua hiyo, huku sasa baadhi ya wakazi katika maeneo bunge ya Butula na Nambale wakiishi kwa hofu.