Hatari ya jengo eneo la Kutus

  • | Citizen TV
    352 views

    Familia ishirini zilizokuwa zikiishi karibu na jengo la gorofa tatu ambalo limeanza kuwa na nyufa katika eneo la Kutus zimelazimika kuhamaili kuepuka janga.