Hatari ya mto Nyamindi inayosababisha vifo. Zaidi ya watu 20 wazama na kufa dunia kwenye mto huo

  • | TV 47
    24 views

    Wakaazi wa Gichugu wanaoishi kando ya mto Nyamindi wameitaka serikali kuweka mitaro au vizuizi vya wavu kando ya mto huo kutokana na kuongezeka kwa idadi kubwa ya watu wanaozama na kufa maji kwenye mto huo.

    Kwa mwaka mmoja uliyopita zaid ya watu 20 wamefariki dunia katika mto huo ambao maji yake hutiririka kwa kasi kutoka msitu wa Mlima Kenya.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __