Hatma ya DRC katika michezo ya Wafcon. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,393 views
    Matumaini ya kufuzu kwa muwakilishi wa pili kutoka Afrika Mashariki katika michuano ya kuwania ubingwa wa soka la kinadada barani Afrika Jamhuri ya Demokrasi ya Congo katika hatua ya muondowano yamedidimia. Hii ni baada ya kupoteza tena mechi yake ya pili katika KUNDI A baada ya kutitigwa mabao manne kwa mawili dhidi ya Wenyeji Morocco. Je hatima ya DRC katika dimba hilo ni ipi?