- 1,137 viewsDuration: 1:48Hatma ya gavana wa Kericho Eric Mutai aliyebanduliwa na bunge la kaunti sasa itajumuisha bunge zima la seneti na wala sio kamati ya maseneta 11. Gavana Mutai akitarajiwa kufika kuanzia jumatano ijayo kujibu madai ya ufisadi na utumizi mbaya wa mamlaka uliosababisha kuondolewa mamlakani na wawakilishi wadi