Hatma ya Watengenezaji filamu

  • | Citizen TV
    339 views

    Watengezaji filamu wanne waliokamatwa na kisha kuwachiliwa walifika katika makao makuu ya DCI wakiandamana na mawakili na wanaharakati kutafuta maelezo ya iwapo wana hatia au la. Aidha pia walifika kudai vifaa vyao vya kazi ambavyo vilichukuliwa walipokamatwa.