Hatua ya kudumisha uteuzi wa Sabina Chege kuwa naibu kiranja wa wachache bungeni yazua kizaazaa

  • | KBC Video
    74 views

    Muungano wa Azimio umeelezea kughadhabishwa na hatua ya spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangu’ula kukataa kumwondoa mbunge mteule Sabina Chege kama naibu kiranja wa wachache bungeni. Wetangu’la ametekeleza agizo la mahakama licha ya kukiri kwamba muungano huo uliafikia taratibu zote za kumuondoa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #parliament #darubini