Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto

  • | VOA Swahili
    357 views
    Hatua ya serikali ya Kenya kuondoa marufuku ya bidhaa za GMO inaendelea kuleta hisia mseto baadhi ya wananchi wakisema kuwa GMO haijaweza kuthibitishwa kuwa na manufaa kwa nchi na afya ya wananchi, wakitaka utafiti zaidi ufanyike ili kuhakikisha usalama wake. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.