Skip to main content
Skip to main content

Hatua za kisayansi za mifugo zatumika kukabili magonjwa ya mifugo Kajiado

  • | Citizen TV
    349 views
    Duration: 3:02
    Magonjwa ya mifugo bado ni mojawapo ya vitisho vikubwa zaidi kwa riziki za wafugaji katika maeneo kame humu nchini. Katika Kaunti ya Kajiado, juhudi mpya zinazolenga kuimarisha huduma kwa mifugo na kushughulikia magonjwa zinaisaidia jamii kulinda mifugo wao na kuongeza uzalishaji.