Skip to main content
Skip to main content

"Hatuendi kwenye maridhiano na chama fulani bali kama nchi"

  • | BBC Swahili
    30,800 views
    Duration: 2:37
    Baada ya kuwasilishwa jana kwa ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania,mwandishi wa BBC, Humprey Mgonja amezungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #tanzania #uchaguzitz2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw