'Haya ni matunda ya uvumilivu ya kupata rekodi hii'

  • | BBC Swahili
    207 views
    Mwanariadha Faith Kipyegon wa Kenya ndiye mwanariadha bora wa kike mwaka huu. Bingwa huyo wa dunia alitawazwa pamoja na wanariadha wengine watano kama wanariadha bora zaidi katika vitengo tofauti vya riadha duniani. #bbcswahili #kenya #riadha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw