Hazina mpya ya bima ya afya yazua mjadala kali mongoni mwa wakenya

  • | Citizen TV
    177 views

    Wanaharakati mbalimbali wanazungumzia nyongeza ya asilimia 2.75 ambayo inapaniwa kuongezwa punde mswada wa bima ya afya ya umma ambao unanuia kuunda hazina ya bima ya afya ya umma utakapoishinishwa na bunge na kutiwa saini kuwa sheria. Hazina hiyo itatumiwa kutoa huduma za kimsingi za afya kwa jamii katika zahanati na vituo vya afya.