Hazina ya CDF I Vikao vya kushirikisha umma vyaibua hisia mseto

  • | KBC Video
    29 views

    Shughuli ya kupokea maoni kutoka kwa umma iliyoanza leo kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2025 ,unaotaka kuwianishwa kwa hazina muhimu za maendeleo ikiwemo ile ya ustawishaji wa maeneo bunge ilianza kwa hisia mseto. Kuanzia Ruiru hadi Busia, Nairobi hadi Kakamega, mjadala huo uliibua hisia mseto katika kaunti zote 47 huku wakenya wakijitokeza kwa mashauriano hayo ya siku nne yatakayoendelea hadi siku ya alhamisi.Ben Chumba anatueleza zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive