Hazina ya hasla | Shughuli ya hazina hiyo kukitwa katika sheria

  • | KBC Video
    52 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa wabunge wa Kenya Kwanza kutetea kwa dhati miradi na sera za serikali wakati wa mijadala yao bungeni.Kiongozi wa taifa aliyehutubia mkutano wa wabunge hao. Pia aliwaambia anatarajia wakosoe serikali na wakati huo huo kuunga mkono mipango yake kama vile hazina ya hasla pamoja na utekelezaji wa maagizo mapya kuhusiana na mfumo mpya wa elimu wa CBC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #hazinayahasla #News #williamruto