Hazina ya NSSF yasubiri wadau wa ajira kutoa maoni

  • | Citizen TV
    1,211 views

    Halmashauri ya hazina ya malipo ya uzeeni NSSF inasubiri washikadau katika sekta ya ajira kutoa kauli zao kabla ya kutekeleza nyongeza ya malipo ya uzeeni kwa hazina hiyo. Muungano wa waajiri nchini FKE tayari umelelamikia ukosefu wa mipangilio ya kutekeleza hili huku wafanyakazi wakitarajiwa kuongeza malipo yao kutoka shilingi mia mbili kwa mwezi hadi zaidi ya shilingi elfu mbili.