Hazina za Kale za Ukraine zarudi baada ya mzozo wa muda mrefu

  • | BBC Swahili
    941 views
    Mkusanyiko wa kihistoria wa hazina za kale zimerudishwa nchini Ukraine, baada ya mzozo wa karibu miaka 10 kuhusu umiliki wake kati ya Urusi na Ukraine. Ukraine na Urusi wote walikuwa wanadai bidhaa hizo, lakini mahakama ya Uholanzi iliunga mkono Kyiv. #bbcswahili #ukraine #urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw