3 May 2026 11:28 pm | K24 Video 966 views Duration: 1:56 H.E Kalonzo Musyoka : Raila walikubaliana na Rais kabla ya Mwezi wa tatu, jamii ya walio uwawa kwa maandamano wawe wamelipwa ridhaa. Jambo hilo halijakamilika